WATOTO NA VIJANA WA ARIEL CAMP 2018 WAKICHEZA MICHEZO MBALIMBALI BEACH DAR

 
 
Watoto na vijana kutoka mikoa ya Shinyanga,Mwanza,Simiyu na Mara wanaoshiriki katika Kambi ya Ariel 2018 inayofanyika jijini Dar es salaam wameendelea kufurahia kambi kwa kucheza michezo mbalimbali katika Beach ya Serene jijini Dar es salaam.
 
Kambi ya Ariel 2018 iliyoanza Desemba 10, 2018 inashirikisha watoto na vijana 50 ambao ni wanachama wa klabu za vijana na watoto zinazosimamiwa na asasi isiyo ya kiserikali ya Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) inayolenga kutokomeza VVU na UKIMWI kwa watoto na familia.
 
Angalia picha hapo chini
 
 Vijana na watoto wakiwa katika pozi
 
 
 
 
 
 

Vijana warukasi sarakasi kutoka taasisi ya Babawatoto wakitoa burudani kwa watoto na vijana wa Kambi ya Ariel 2018.

 Burudani ya sarakasi ikiendelea.

 
 Mbio za magunia zikiendelea
 
 Mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea.
 
 
 
 
PICHA ZOTE NA MALUNDE 1 BLOG
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

More on News

Get Connected